Baadhi ya ahadi hazijatimizwa na Rais Ruto tangu Juni 25

  • | Citizen TV
    10,325 views

    Mwaka mmoja baada ya maandamano ya Gen Z, baadhi ya ahadi zilizotolewa na Rais William Ruto zilionekana kuwa za kutuliza makali tu, serikali ikikosa kutimiza ahadi hizo. Licha ya serikali kuahidi haki kwa zaidi ya watu 60 waliouawa wakati wa maandamano hayo, familia zilizowapoteza wapendwa wao bado zinasubiri haki.