Baadhi ya kesi zatatuliwa nyumbani na kuzima haki za waathiriwa

  • | Citizen TV
    48 views

    Baadhi ya wanaharakati wa kutetea haki za kijinsia katika kaunti ya Kwale, wameshtumu hatua za kutatua kesi za dhulma nyingi za kijinsia nyumbani hali inayosababisha waathiriwa kunyimwa haki zao