Baadhi ya kina mama kaunti ya Garissa wageukia kilimo na biashara mbalimbali kujikimu kimaisha

  • | Citizen TV
    229 views

    Licha ya eneo la Garissa kutambuliwa kuwa miongoni mwa maeneo kame nchini, baadhi ya kina mama sasa wamegeukia kilimo na biashara mbalimbali kujikimu kimaisha.