25 Feb 2026 1:23 pm | Citizen TV 309 views Duration: 1:18 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Matulo FYM eneo bunge la Webuye magharibi wanasomea chini ya miti baada ya sehemu ya madarasa yao kuanguka huku kuta za madarasa mengine zikipata nyufa .