Baadhi ya Mahame wa UDA kutoka Bumula wajiunga na DAP K

  • | West TV
    19 views
    Azma ya aliyekuwa mbunge wa Kanduyi Wafula Wamunyinyi kuwania useneta katika kaunti ya Bungoma imepigwa jeki baada ya baadhi ya wananchama wa chama cha UDA kutoka eneo bunge la Bumula kukigura chama hicho na kujiunga na DAP-K