Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya mawakili waandaa maandamano ya amani Nairobi

  • | Citizen TV
    4,258 views
    Duration: 3:36
    Baaadhi ya mawakili wameandaa maandamano ya amani hapa jijini nairobi kutokana na mauaji ya mwenzao wakili matthew kyalo Mbobu. Mbobu aliuawa kwa kupigwa risasi nane shingoni kwenye barabara ya ngong hapa jijini nairobi siku ya jumanne.