Baadhi ya MCA wapinga njama ya kumtimua Gavana Kimani Wamatangi

  • | KBC Video
    13 views

    Waakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Kiambu wanaomuunga mkono Gavana Kimani Wamatangi wamepuuzilia mbali njama ya baadhi ya wenzao ya kumuondoa mamlakani Gavana huyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News