Baadhi ya miili ilipatikana ikiwa na majeraha ya kunyongwa

  • | Citizen TV
    2,819 views

    Tukisalia kwenye taarifa hii ya Shakahola, maafisa wa upelelezi sasa wamaamini kuwa huenda baadhi ya wafuasi wa muhubiri tata Paul Mackenzie walinyongwa na wengine walipigwa kabla ya kufa