Baadhi ya miji iliyoko Kaskazini mwa Israeli imehamwa kutokana na hofu ya kushambuliwa

  • | VOA Swahili
    1,288 views
    Baadhi ya miji iliyoko Kaskazini mwa Israeli imehamwa baada ya kuripotiwa uwezekano wa wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon kuishambulia Baadhi ya miji iliyoko kaskazini mwa Israeli imehamwa baada ya kuripotiwa uwezekano wa kikundi cha wanamgambo wa Hezbollah kuishambulia. Lakini wakati mwandishi wa VOA Boechat akiripoti kutoka Metula, Israel, ambako wapiganaji wa Hezbollah wanaonekana upande wa pili mpakani, wanajeshi wa Israel wanaelekea kuwa wanajitayarisha kwa kile wanacho hofia inaweza kuwa shambulizi jingine. #israel #palestine #lebanon #reels #igreels #videography #voa