Baadhi ya shule za Kilifi zaanzisha mpango wa kutambua na kukuza talanta za wanafunzi wao

  • | Citizen TV
    318 views

    Baadhi ya shule za Kilifi zimeanzisha mpango wa kutambua na kukuza talanta za wanafunzi wao kupitia mashindano ya Muziki ili waweze kuinua talanta hizo.