Baadhi ya shule zafunza lugha ya kirusi kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    259 views

    Tangu serikali kuanzisha mfumo wa elimu wa CBC mwaka 2019, kuna baadhi ya shule ambazo mpaka sasa wangali kupata walimu wa masomo ya Lugha za kigeni kufuatia uhaba wa walimu hao, kule Kisii maeneo ya Kitutu Chache North