Baadhi ya vijana katika kaunti ya Trans nzoia wanalalamikia kubaguliwa

  • | Citizen TV
    238 views

    Baadhi ya vijana katika kaunti ya Trans nzoia wanalalamikia kubaguliwa Wanadai hawajahusishwa katika nyadhifa mbalimbali za serikali ya kaunti

    Wakiwataka viongozi watakaoingia mamlakani kuwatengea vijana nafasi #Sema2022