Baadhi ya viongozi kutoka Meru warai bunge la seneti kuunga mkono kuondolewa kwa Gavana Mwangaza

  • | KBC Video
    56 views

    Siasa zilishamiri wikendi hii huku baadhi ya viongozi wa kike kutoka kaunti ya Meru wakirai bunge la seneti kuunga mkono kuondolewa madarakani kwa Gavana Kawira Mwangaza. Hayo yakijiri, waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidijitali Eliud Owalo amesisitiza wito wake kwa eneo la Nyanza kumuunga mkono Rais William Ruto kwenye uchaguzi wa mkuu wa urais mwaka wa 2027 kwa ajili ya maendeleo ya eneo hilo. Hii hapa tathmini ya siasa zilizoshamiri wikendi hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kawiramwangaza #kbclive