Baadhi ya viongozi wa Azimio waunga mkono azma ya Raila

  • | Citizen TV
    1,399 views

    Baadhi ya viongozi wa Azimio la Umoja wameunga mkono hatua ya kinara Raila Odinga kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa afrika. Viongozi hao wamesema kuwa raila anastahili wadhifa huo ambao utampa nafasi ya kujitenga na siasa za taifa.