Baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza wakashifu siasa za kikabila

  • | Citizen TV
    270 views

    Baadi ya viongozi wa kenya kwanza wamewakashifu viongozi ambao wanadaiwa kueneza siasa za ukabila wakisema kuwa siasa hizo ni za kibinafsi na zinalenga kuhujumu utendakazi wa rais william Ruto. Wakizungumza Katika kanisa katoliki la holy family eneo bunge la Emgwen, kaunti ya Nandi, Viongozi hao wamesema hawatakubali siasa za ukabila zitakazoathiri umoja wa kitaifa.