Baadhi ya viongozi wa kisiasa sasa waanza matamshi ya uchochezi kwa jamii

  • | Citizen TV
    6,138 views

    Baadhi ya viongozi wa kisiasa sasa wameanza matamshi yanayoonekana kuchochezi jamii, haswa kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Katika kaunti ya Trans Nzoia, spika wa bunge Moses Wetangula alizungumzia haja ya jamii moja kumsaidia rais Ruto dhidi ya wapinzani wake. Na Katika akunti ya Nakuru, seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago naye pia alikuwa na semi sawia, akisema kuwa baadhi ya jamii zinamuonea kinyongo rais William Ruto kwasababiu za kikabila.