Baadhi ya viongozi waishutumu serikali kuu dhidi ya sakata ya mbolea bandia

  • | Citizen TV
    413 views

    Baadhi ya viongozi nchini sasa wanamnyoshea kidole cha lawama Rais William Ruto kwa kutowachukulia hatua mawaziri wanaozembea kazini.