Baadhi ya viongozi wapongeza muungano mpya uliobuniwa leo baina ya ODM na UDA

  • | KBC Video
    131 views

    Kundi la viongozi na baadhi ya wananchi wamepongeza muungano mpya uliobuniwa leo baina ya chama cha ODM na chama tawala cha UDA wakisema hatua huyo ni faafu kwa ajili ya umoja na ustawi wa taifa. Wakenya hata hivyo wanataka viongozi hao kutumia dhana mpya ya ujumuishi wa kisiasa kushughulikia changamoto zinazolemaza sekta za afya na elimu. Dhuluma zinazodaiwa kutekelezwa na maafisa wa polisi pamoja na kukithiri kwa viwango vya ukosefu wa ajira ni miongoni mwa masuala mengine wanayotaka yaangaziwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive