Baadhi ya vyama vyatajwa kutokuwa na usemi katika eneo la magharibi

  • | West TV
    55 views
    Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha ANC katika kaunti ya Bungoma Jonathan Barasa kane amekigura chama hicho na kujiunga na chama cha Ford Kenya akishikilia kuwa hatua yake inatokana na ufahamu kuwa kwa sasa chama cha Ford Kenya kina uungwaji mkono mkubwa katika kaunti ya Bungoma ikilinganishwa na chama cha ANC