Baadhi ya waandamanaji waliotekwa nyara waeleza walivyoteswa

  • | Citizen TV
    10,759 views

    Siku moja baada ya rais kuonekana kutilia maanani na kutekeleza baadhi ya matakwa ya vijana waliokuwa wakiandamana, bado makovu ya waliofariki na wengine kutekwa nyara yanazidi kutoneshwa. Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu yaliandaa kikao hapa nairobi cha kusikiliza waathiriwa na kuahidi kuwawakilisha kortini.