Baadhi ya waathiriwa wanadai haki

  • | Citizen TV
    769 views

    Baadhi ya waathiriwa wa maandamano sasa wanataka kando na fidia ambayo Rais William Ruto anadhamiria kutoa, haki pia ipatikane na waliohusika na mauaji na kudhulumiwa kwa waathiriwa wawajibishwe kisheria. Katika kaunti ya Kisumu, ambayo iliathirika pakubwa na machafuko haswa ya mwaka 2017, waathiriwa bado wanaishi na makovu ya kisaikolojia na msongo w amawazo kutokana na madhila waliyopitia