Baadhi ya wabunge wa Kenya Kwanza wamtetea Ndindi Nyoro

  • | KBC Video
    72 views

    Wabunge kadhaa wa muungano wa Kenya Kwanza wamemtetea mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro kuhusiana na madai kuwa ziara zake za mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini zinalenga kumpiku naibu naibu rais Rigathi Gachagua katika udhibiti wa siasa za mlima Kenya. Viongozi hao waliokuwa wakiongea katika kaunti ya Nyandarua akiwemo mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Nyandarua Faith Gitau walisema kuwa wanaunga mkono uongozi wa rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive