Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wabunge wa Mt.Kenya wamtetea naibu rais Kindiki wakitaka awe mgombea mwenza wa Ruto 2027

  • | Citizen TV
    2,253 views
    Duration: 1:18
    Baadhi ya wabunge kutoka mlima Kenya wamesistiza kuwa hawatokubali majadialiano yoyote ya kumuunga mkono rais William Ruto katika azma yake ya urais ya mwaka 2027 ikiwa naibu wa rais Kithure Kindiki hataendelea kushikilia nafasi hiyo katika uchaguzi ujao. Viongozi hao wakiweka bayana hawakubaliani kabisa na kauli ya chama cha ODM kuwa kipewe nafasi hiyo katika majadiliano ya kuunagana na chama cha uda na kumuunga Ruto mkono.