Baadhi ya wabunge waapa kuangusha mswada wa fedha wa mwaka wa 2024 utakapowasilishwa bungeni

  • | Citizen TV
    2,481 views

    Siasa kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024 zimeendelea huku sasa kamati ya fedha bungeni ikisema imependekeza kuondolewa baadhi ya vipengee vya ushuru tata kwenye mswada huu. Aidha, baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kuutetea mswada huu wakisema una manufaa makubwa kwa taifa. Na kama Ben Kirui anavyoarifu, haya yakijiri huku baadhi ya wanasiasa wakitangaza kuwa watapinga mswada huo utakapowasilishwa bunge