Baadhi ya wabunge wamedai halmashauri ya mazingira NEMA inatatiza ujenzi wa barabara ya Maumau

  • | KBC Video
    64 views

    Baadhi ya wabunge kutoka kaunti za Nyeri na Nyandarua wamedai kuwa halmashauri ya kitaifa ya usimamizi wa mazingira NEMA kwa kutatiza ujenzi wa barabara ya Maumau unaotarajiwa kugharimu shilingi bilioni nne kuunganisha kaunti hizo mbili.Wakiongozwa na mbunge wa Tetu Geoffrey Wandeto,wabunge hao wanadai kuwa halmashauri hiyo halmashauri ya barabara kuu nchini iliondolea mbali kandarasi ya ujenzi wa barabara hiyo baada ya halmashauri ya NEMA kukataa kutoa idhini ya ujenzi wa barabar hiyo kupitia msitu wa Aberdare kwa madai kuwa ujenzi huo utahitilifaina na mazingira. Gichuki Wachira anatusimulia zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #maumauroad #NEMA