Baadhi ya Wabunge washinikiza Waziri wa Afya Susan Nakhumicha kutimuliwa kwa utendakazi duni

  • | West TV
    191 views
    Huku mgomo wa madakatari na wahudumu wengine wa afya ukiendelea kote nchini, sasa wabunge wanataka kuwasilisha mswada wa kumuondoa kazini waziri wa afya ssan nakhumicha kwa kile wanachosema ni kutotilia maanani kutatua mgomo huo