Baadhi ya wafuasi wa muhubiri tata Mackenzie wameshindwa kutembea baada ya kufikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    2,630 views

    Baadhi ya wafuasi wa muhubiri tata Paul Mackenzie wameshindwa kutembea muda mfupi tu baada ya kufikishwa katika mahakama kuu ya Shanzu kaunti ya Mombasa.