28 Aug 2025 1:39 pm | Citizen TV 215 views Duration: 2:02 Wanachama wa Taasisi ya Wanataaluma wa Uhandisi Kenya (IEK) wanasisitiza serikali ibuni nafasi za ajira 10,000 kwa wahandisi wasio na kazi.