Baadhi ya Waislamu kutoka Isiolo wametoa wito wa kuangazia upya sheria kuhusu mashoga na masenge

  • | KBC Video
    21 views

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu katika kaunti ya Isiolo wametoa wito wa kuangazia upya sheria inayoruhusu wasagaji, mashoga na masenge humu nchini kuwa na haki ya kutangamana wakisema uamuzi huo ni kinyume na maadili ya Wakenya

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News