Baadhi ya wakazi wa Kasigau watilia shaka mradi mradi wa hewa kaa kaunti hiyo

  • | Citizen TV
    144 views

    Baadhi ya wakazi wa Kasigau eneobunge la Voi , kaunti ya Taita Taveta wanatilia shaka mradi wa hewa kaa kaunti hiyo licha ya baadhi yao kufaidika na miradi mbalimbali iliyoanzisha ya hewa ya kaboni. Hata hivyo wanamazingira wanawashauri wakazi kujihusisha na miradi hiyo sio tu kwasababu za kuhifadhi mazingira, kuzuia migogoro kati yao na wanyama pori bali pia kufaidi mapato ya hewa kaa.