Baadhi ya wakazi wa kaunti ya jiji la Nairobi wameunga mkono kuapishwa kwa Anne Kananu

  • | KBC Video
    Baadhi ya wakazi wa kaunti ya jiji la Nairobi wameunga mkono kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa naibu gavana wa Nairobi. Wakizungumza kwenye mahojiano ya kipekee na runinga ya channel1 wakazi hao walisema Kananu atashirikiana ipasavyo na halmashauri ya NMS kutoa uongozi unaofaa na kuboresha huduma jijini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive