- 714 viewsDuration: 2:04Miezi mitatu baada ya kampuni ya saruji ya Simba kufungwa na wizara ya madini kwa kuzembea katika utekelezaji wa miradi ya kufaidi wanajamii katika wadi ya Kambe/Ribe eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi, sasa kampuni hiyo imepewa idhini ya kuendeleza shughuli zake.