Baadhi ya Wakenya wanadai kulaghaiwa

  • | Citizen TV
    363 views

    Waziri wa Leba Dkt. Alfred Mutua amepinga madai kwamba serikali iliwapora na kuwalaghai wakenya kwenye mpango wa kazi majuu wa kuwatafutia kazi Ughaibuni.