Baadhi ya wakulima wasema hatua hiyo italeta faida

  • | Citizen TV
    91 views

    Uamuzi wa serikali wa kubinafsisha viwanda vyote vya kutengeneza sukari vinavyomilikiwa na serikali ulikabiliwa na ukosoaji kutoka kwa wakulima wengi wa miwa kote nchini