Baadhi ya wanasiasa walaumu upinzani kwa ukabila

  • | Citizen TV
    216 views

    Baadhi ya viongozi wa kenya kwanza wakiongozwa na msaidizi wa Rais Farouk Kibet, wamekashifu mrengo wa upinzani kwa kueneza siasa za migawanyiko. Wakizungumza kwenye ibada ya jumapili eneo la turbo, kaunti ya Uasin Gishu, viongozi hao walitaja matamshi ya baadhi ya viongozi wa upinzani kuwa ya kutishia umoja wa taifa