Baadhi ya watoto hawapelekwi kliniki katika kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    97 views

    Kaunti ya Nandi imeanzisha mchakato wa kuimarisha chanjo kwa watoto kaunti hiyo. Hii ni kufuatia ripoti kuwa baadhi ya watoto hawapelekwi kliniki na wazazi wao kupokea chanjo.