Baadhi ya wawakilishi wodi wadai ufisadi bungeni

  • | Citizen TV
    117 views

    Wawakilishi wadi hao wakishtumu uajiri wa wafanyikazi pasi na kufuata sheria huku pia wakisema fedha zinazotengwa kila mwaka kwa ajili ya ukarabati wa ofisi za bunge hilo hazifai kutumiwa visivyo.