Baadhi ya wazazi wasononeka kwa kukosa karo kwa wanao eneo la Kajiado Mashariki

  • | Citizen TV
    212 views

    Wazazi katika eneo bunge la Kajiado Mashariki wameelezea hofu kuwa huenda wanao wakakosa kuendelea na masomo kutokana na ukosefu wa karo ambao umechangiwa na hali ya ukame inayosidi kushuhudwa katika eneo hilo. wazazi hao wanasema wengi wao walikuwa wakitegemea mifugo ambao waliangamizwa na kiangazi na hivyo kuwaacha bila namna ya kupata fedha za kugharamia masomo ya watoto wao.