Baadhi za familia zimeanza kuhama kutokana na mafuriko eneo la Budalangi

  • | West TV
    233 views
    Baadhi za familia kutoka wadi ya Bunyala kaskazini eneo bunge la Budalangi wamelazimika kuhama makazi yao kutokana na mafuriko katika maboma yao. Familia hizo sasa zinahofia kuwa huenda shule ya Igigo inayowapa hifadhi pia huenda ikafurika kwani tayari inazinģirwa na maji.