29 Jul 2026 10:09 am | Citizen TV 2,890 views Duration: 2:24 Familia moja kijijini Bugeng'i katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia yaomboleza kifo cha mvulana wa miaka 14 adaiwaye kupigwa na babake mzazi hadi kufa kwa kosa la kutofanya kazi aliyokuwa amepewa.