Baba amnajisi mwanawe wa umri wa miaka 13 Mama aogopa kutoa ushahidi kortini

  • | West TV
    211 views
    Mtoto msichana wa miaka 13 huenda akakosa haki baada ya kunajisiwa mara nne na Babake mzazi ambaye kwa sasa amekamatwa. Mamake mzazi ambaye ndio shahidi mkuu katika kesi hiyo amesusia kutoa ushahidi kwa kuogopa kutimuliwa katika boma hilo.