Skip to main content
Skip to main content

Babu Owino na Orengo wafika DCI wakidai vijana wanaounga mkono Linda Mwananchi wananyanyaswa

  • | NTV Video
    606 views
    Duration: 2:13
    Viongozi katika mrengo wa Linda Mwananchi akiwemo Babu Owino na James Orengo wafika DCI wakitaka kujua kwa nini vijana wanaounga mkono mrengo huo wanakamatwa na kusingiziwa kuwa wanaosababisha vurugu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya