28 Aug 2025 11:28 am | Citizen TV 20,254 views Duration: 5:42 Babu Owino- Mbunge, Embakasi East: Sisi kama wanachama wa ODM, hatupigi mtu yeyote vita. Tunataka kuhakikisha kuwa kile ambacho serikali iliahidi wananchi wakati wa kampeni kinatimizwa.