Bajeti Finyu Kuathiri Mitihani Ya Kitaifa

  • | Citizen TV
    463 views

    Mitihani ya KNEC inayojumuisha ile ya KEPSEA, KJSEA na KCSE ya mwaka huu huenda haitafanyika kutokana na kutokuwepo kwa bajeti ya mitihani hiyo. Kamati ya elimu bungeni imetiliia shaka kutokuwepo kwa fedha za mitihani katika bajeti ya mwaka 2025/2026. Katibu wa wizara ya Elimu Julius Bitok pamoja na waakilishi wa Hazina ya Kitaifa wakionekana kushindwawa kulezea sababu haswa ya kutotengwa kwa fedha hizo.