“Bajeti ya jana haikugusa mama mboga ama boda boda,” Wakaazi wa Nakuru watoa maoni yao kuhusu bajeti

  • | Citizen TV
    1,415 views

    Kufuatia kusomwa kwa makadirio ya bajeti ya shilingi trilioni 3.6 hapo jana, wadau mbalimbali wanazidi kutoa maoni yao kuhusiana na mgawo wa fedha katika sekta mbalimbali. Evans Asiba anazungumza na wakazi wa njoro kaunti ya nakuru na anaungana nasi mubashara.