Balozi wa Iran Nchini Kenya asema biashara ya mafuta itaathirika

  • | Citizen TV
    2,998 views

    Balozi wa Iran nchinI Kenya Ali Gholampour amelaani vitendo vya Israel vya kushambulia IRAN na kusababisha vifo vya mamia ya watu. Akiwahutubia waandishi wa habari katika ubalozi wa Iran jijini Nairobi, Gholampour amekemea mashambulizi hayo, akiyataja kama uhalifu dhidi ya binadamu