BALOZI WA ITALIA AUAWA NA WAASI DRC

  • | VOA Swahili
    Balozi wa italia katika jamhuri ya kidemokrasia ya congo ameuwawa leo jumatatu wakati msafara wa ujumbe wa umoja wa mataifa uliposhambuliwa na waasi katika eneo lenye hali tete mashariki mwa nchi hiyo , vyanzo vya habari na serikali ya Rome imesema . #VOA #DL