Balozi wa Marekani hapa nchini Meg Whitman apongeza juhudi za Kenya za kuandaa chaguzi za haki

  • | KBC Video
    13 views

    Uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka 2022, ndio uchaguzi wa kuaminika zaidi ambao Kenya imewahi kuandaa. Haya yalisemwa na balozi wa Marekani hapa nchini Meg Whitman, ambaye alipongeza juhudi za nchi hii za kuandaa chaguzi za haki na za kuaminika, alipohutubia kongamano la ugatuzi huko Eldoret, katika kaunti ya Uasin Gishu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News