25 Feb 2026 8:06 pm | Citizen TV 186 views Duration: 31s Katika uwanja wa Mbaraki mjini Mombasa, wenyeji bandari wametoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Nairobi united kwenye mechi nyingine ya ligi kuu ya taifa ya kandanda.