Skip to main content
Skip to main content

Barabara kadhaa za mashinani zakarabatiwa Taita Taveta

  • | Citizen TV
    224 views
    Duration: 1:55
    Ni afueni kwa wakazi wa Makwasinyi eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali ya kitaifa kuanza kukarabati barabara ya Kiteghe hadi Bungule ambayo imekuwa katika hali mbaya. Mbunge wa Voi Khamisi Chome anasema barabara za mashinani zimekuwa hazipitiki hasa wakati wa mvua na kwamba serikali itatatua tatizo hilo kwa kuzikarabati kwa wakati unaofaa. Baadhi ya barabara ambazo zimekarabatiwa kufikia sasa ni ya Voi kwenda Saghalla na ile ya Maungu hadi Rukanga yenye urefu wa kilomita 32.